Monday, August 27, 2012

WANAMITINDO KWA AJILI YA MAONYESHO YA MBUNIFU MAARUFU NCHINI, ALLY RHEMTULLAH.

 Wanamitindo wa kiume wakipita mbele ya majaji wakati wa kusaka wanamitindo wa mbunifu maarufu nchini, Ally Rhemtullah.
Mwanamitindo wa kike akipita mbele ya majaji

Mbunifu Ally Rhemtullah akifuatilia kazi hiyo

Majaji waliofanya Usaili wa kutafuta wanamitindo watakaoshiriki kwenye Onyesho la Mavazi la Ally Rehmtullah Collection 2013 litakalofanyika tarehe 8 September 2012 wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza usaili huo.

7 comments:

 1. Dah mbona sikupata taarifa na mm ningeshiriki kupata hiyo kazi ya modeling

  ReplyDelete
 2. na rangi yako hiyo ungependeza sanaaaa

  ReplyDelete
 3. Sio ugomvi ungependeza sana nakwambia

  ReplyDelete
 4. Kwa rangi hii ambayo nakaribia kuchuja? Labda ngoja nisibishe sana

  ReplyDelete
 5. hahahhahah unaijua rangi ilio chuja wewe?

  ReplyDelete