Thursday, September 27, 2012

REDDS MISS TZ NOVEMBA 3, UBUNGO PLAZA

Mashindano ya Redds Miss Tanzania kwa sasa yamekamilika katika hatua zote na hatua ya mwisho ilikuwa hatua ya kanda ambayo kwa sasa imekamilika na kufanikiwa kuwapa warembo jumla ya 30 .

 Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam Mkurugenzi wa LINO AGENCY Hashim Lundenga alisema mashindano kiujumla katika ngazi zote hadi kanda yamekuwa na mafanikio makubwa na kuonyesha kuwa fainali ya Taifa ya mwaka huu itakuwa na ushindani wa hali ya Juu.

 Washiriki wengi wa mwaka huu kwa asilmia 90 ni wasomi wanafunzi wa Vyuo Vikuu na wengine wanatarajia kujiunga na Vyuo Vikuu, jambo ambalo litaleta hamasa kubwa katika shindano la mwaka huu.
 
Baada ya kukamilika kwa mashindano hayo ya Kanda kwa sasa tunatangaza rasmi kuwa warembo wote 30 walioshinda na kuingia katika kinyang,anyiro cha Redds Miss Tanzania 2012 wataingia kambini siku ya jumanne October 2,2012 katika Hotel yenye hadhi ya kitalii ya GIRAFFE HOTEL Iliyopo hapa Jijini Dar Es salaam,Washiriki hao watakuwa kambini kwa muda wa mwezi mmoja.
 
Tunapenda kuwajulisha wadau wa tasnia ya urembo kwamba shindano la REDDS MISS TANZANIA 2012 litafanyika siku ya Jumamosi tarehe 03 November 2012 katika Ukumbi wa Hotel ya Blue Peal (Ubungo Plaza).

 Kwa Upande wake Meneja wa Kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro alisema wao kama wadhamini wakuu wa Redds Miss Tanzania wamejipanga kwa nguvu kubwa kutoa burudani ya aina yake kwa wadau wote wa tasnia ya urembo hapa nchini sambamba na kuhakikisha warembo wote waliofanikiwa kuingia hatua ya fainali watapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali.

 Kwa kuzingatia mabadiliko ya Kalenda ya Mashindano ya urembo ya Dunia, Mrembo wa Tanzania atakuwa na muda mrefu wa maandalizi kwani atatakiwa kuripoti katika Fainali za Mashindano ya urembo ya Dunia katikati ya mwaka ujao. 2013.


Monday, September 24, 2012

Emmys 2012: Award Winners

The cast and crew of 'Modern Family' speaks onstage during the 64th Annual Primetime Emmy Awards at Nokia Theatre L.A. Live on September 23, 2012 in Los Angeles, California.
Julie Bowen speaks onstage during the 64th Annual Primetime Emmy Awards at Nokia Theatre L.A. Live on September 23, 2012 in Los Angeles, California
Tom Hanks speaks onstage during the 64th Annual Primetime Emmy Awards
Julianne Moore speaks onstage during the 64th Annual Primetime Emmy Awards  

Emmy’s Best-Dressed Stars

Tina Fey was the picture of elegance in a plum Vivienne Westwood column gown. Subtle ruching flattered her curves and an ornate scoop neckline created a sexy yet sophisticated focal point.
Nicole Kidman looked statuesque in a Antonio Berardi white column gown with turquoise sequined embellishments that defined her waist.
Emmy virgin Julianne Moore radiated in a bright yellow Christian Dior Couture by Raf Simons dress
Edie Falco was the picture of understated elegance in a color block tank dress. A gold belt added glam polish and highlighted her fit figure.
Another Vivienne Westwood fan, Kerry Washington glows in one of the designer's sequined gowns. The actress stuck to simple accessories and natural makeup for a fresh take on old-Hollywood glam
Cat Deeley makes a dramatic entrance in a red one-shoulder gown with architectural draping and a mermaid silhouette.

Azonto - Fuse ODG Feat. Tiffany (OFFICIAL)


I luv this dance, watch da video and enjoy azonto style

Sunday, September 23, 2012

MISS TEMEKE 2012

 Miss Tameke 2012, Edda Sylvester (katikati) akiwa na mshindi wa pili Flavian Maeda (kushoto) pamoja na Catherine Masumbigana aliyeshika nafasi ya tau katika kilele cha mashindano hayo, kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es Salaam
Mwandaaji wa mashindano ya Redd's Miss Temeke 2012, Benny Kisaka wa Kampuni ya BMP Promotions, akitangaza washindi watatu wa mashindano hayo. Tano Bora Bendi ya Mashujaa ikitumbuiza wakati wa mashindano hayo