Thursday, June 7, 2012

CITY SPORTS & LOUNGE

  Sehemu ya nje ya City Sports Lounge inavyoonekana ikiwa na picha za wanamichezo mbalimbali maarufu Duniani


Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba, akizungumza na William Malecela, pembeni ni mkewe Mheshimiwa, Mrs. Makamba, kwenye ufunguzi wa City Sports Lounge. Kiota chaUhakika kilichopo karibu na Mzungungo wa Askari katikati ya jiji la Dar es Salaam.

with jaydee n Gadner

nimetulia tu its a nice place to hang out after work

 kwa raha zake

 Jarnice n jay dee n gadner

with my Bff lol,,,,

Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athuman Nyamlani(Kushoto) akiteta jambo na Ridhiwan Kikwete ndani ya club hiyo


Mwandaaji wa Miss Chang'ombe Tom Chilala (wa pilikushoto) akijadiliana jambo na Wakurugenzi wa City Sports Lounge, Juma Pinto (kushoto) pamoja na Benny Kisaka.
KIPAWA FUNDRAISING


MAZINGIRA BORA KWA ELIMU BORA

VENUE: KILIMANJARO HYATT REGENCY HOTEL
DATE : 06TH JUNE 2012
GUEST OF HONOR: FORMER PRIME MINISTER OF REPUBLIC OF TANZANIA
                                     HON EDWARD LOWASSA
MP FOR MONDULI

 Diwani wa Kata ya Kipawa Ilala jijini Dar es Salaam, Bonnah Kaluwa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu chakula cha hisani kilichoandaliwa kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kuboresha elimu katika kata yake
 tukiingia kilimanjaro for fund raising

Table for Century Insurance company

Me n Glady tukionyesha ushirikiano wetu

 wana Century

Maakuli


Monday, June 4, 2012

KENDRA WILKINSON PREGNANT????


Former "Girls Next Door" star Kendra Wilkinson, 26, was spotted on Sunday carrying two pregnancy tests in a shopping bag.

Trying for baby #2: The bag contained First Response, which can detect pregnancy six days before a missed period, and Clearblue Easy, which boasts a 99% accuracy

Sunday, June 3, 2012

SHUFAA'S KITCHEN PARTY


BRIDE : SHUFAA
MC: GLADY
VENUE: HAPPY DRAGON
COLOR: GREEN,ORANGE,GREY AND WHITE


 shufaa umependeza mama ndio siku yako hiyo

matron hauja achwa mbali mama unaenda sambamba


mpambaji alifanya kazi yake


Cake ilipendeza balaa

anaingia kwa mziki wa ki south


MC Grady

kwa niaba ya mashoga woteeeeeeeee


                                                                  Sima n Neema
wapi neema

 nikisubiri msosi lol
Ivy Ladies

Neema & Najis looking gud

Mama Jason

mama jiko hilo ushindwe kupika mwenyewe

mda unaopendwa nawengibi harusi mtalajiwaDreads zimebanwa mpaka raha!

To ukumbini
Ivy Ladies