Friday, June 15, 2012

TUZO ZA TASWA DIAMOND

Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo ya utoaji tuzo za wanamichezo bora wa mwaka 2011.
Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa zamani wa timu ya taifa iliyofanikiwa kushiriki mashindano ya kombe la mataifa huru ya Afrika mwaka 1980 mara baada ya kuwakabidhi tuzo ya heshima ukumbini Diamond Jubillee, Dar es Salaam, jana.

 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi mchezaji wa Simba na Taifa Stars, Shomari Kapombe tuzo ya mshindi za jumla wa mwanamichezo bora wa mwaka 2011, sanjari na pesa tasli Sh milioni 12.
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC),Omar Said Ameir akikabidhi tuzo ya mchezaji bora wa Tanzania katika soka Agrey Morris anayekipiga Azam FC na Taifa Stars.

Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka(kulia) akikabidhi tuzo ya bondia bora ngumi za kulipwa, Nasseb Ramadhan.

Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto  akimkabidhi mchezaji bora wa netiboli, Lilian Sylidion katika hafla hiyo

Mkurugenzi wa City Sports Lounge Benny Kisaka(kushoto) wakifurahia jambo na Ridhiwan Kikwete katika meza yao, Diamond Jubilee, jana.

Wadau wa mchezo wa ngumi wakiwa na mdhamini wa Kitwe General Traders, Lucas Rutta(katikati)

Thursday, June 14, 2012

Chris Brown Injured After Fight With Drake In NYC Club

Drake made an appearance at Sin City cabaret in the Bronx, New York on Wednesday night where he attended the listening session for Rick Ross and MMG’s Self Made Vol 2. album, but the YMCMB rapper reportedly got into a fight with Chris Brown later in the night, over Rihanna?
According to TMZ Drake got into a scuffle with Chris Brown at Manhattan’s WIP nightclub in the wee hours of Thursday morning, with the NYPD confirming that the two entertainers were at the center of the drama. Cops reportedly responded to a call between 4am and 5am, but when they showed up both Breezy and Drake had already left the scene.
Global Grid reports that the drama began when Brown sent a bottle over to Drake's table, and the YMCMB rapper came over to confront him and argue about Rihanna (apparently with some encouragement from Meek Mill). Drake reportedly punched him in the face and threw a bottle at him, before Brown could hit back.

After the fight Chris Brown tweeted a photo showing a deep cut on his chin, writing, "N----s throwing bottles! Y'all n---z weak! Ok! N----s stand behind security!!!! Ok! U don't pay them enough! N----s hiding in the bathroom bitch ass n----s! And I'm the singer? Bottles? It's nothing! How u party wit rich n---- that hate? Lol... Throwing bottles like girls? #shameonya!."

TUZO ZA TASWA DIAMOND JUBILEE

RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ally Hassan Mwinyi, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za utoaji wa tuzo za wanamichezo bora Tanzania Leo(Alhamis) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Abbas Pinto amesema katika Mkutano na Waandishi wa Habari mchana huu, ukumbi wa City Sports Lounge, Mtaa wa Samora, Dar es Salaam kwamba, wamemchangua Mwinyi kwa sababu alikuwa ana mchango mkubwa katika sekta ya michezo enzi zake, akiwa Ikulu tangu 1985 hadi 1995  na kumpa kijiti Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa.

Pinto amesema kwamba maandalizi ya sherehe hizo yamekamilika na anawashukuru sana wadhamini wa tuzo hizo, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa mchango wao mkubwa.
Tuzo hizo, zinazoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo nchinikiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima wa Yanga, atachuana na Kipre Tchetche wa Ivory Coast anayechezea Azam FC na Mganda Emmanuel Okwi wa Simba kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa mwaka wa kigeni.

Kwa upande wa wanasoka wazalendo, tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka inawaniwa na John Bocco, Aggrey Morris, wote wa Azam na Juma Kaseja wa Simba, wakati kwa wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje wanaoshindana ni Henry Joseph wa Kongsvinger ya Norway na Mbwana Samatta wa Tout Puissant Mazembe ya DRC.

Kwa upande wa wanawake, Sophia Mwasikili anayecheza Uturuki, anashindana na Asha Rashid ‘Mwalala’, Mwanahamisi Omary wote wa Mburahati Queens, Fatuma Mustapha wa Sayari na Eto’o Mlenzi wa JKT.ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO:
KIKAPU:
WANAWAKE
DORITHA  MBUNDA :-JKT QUEENS
EVODIA  KAZINJA:-JKT QUEENS
FARAJA MALAKI:-JESHI STARS
WANAUME
ALPHA KISUSI-Vijana
FILBERT MWAIPUNGU:-ABC
GILBERT BATUNGI:-ABC
NETIBOLI:
LILIAN SYLIDION
DORITHA MBUNDA
GOFU
WANAWAKE:
Madina Iddi (Umri miaka 27)
Hawa Wanyeche (Umri miaka 26)
Ayne Magombe (Umri miaka 24)


WANAUME:
Frank Roman
Nuru Mollel
Issac Anania
GOFU WA KULIPWA:
FADHILI  SAIDI NKYA.
YASINI SALEHE
HASSANI KADIO


OLIMPIKI MAALUM
Ahmada Bakar
Amina Daud Simba-kisahani na tufe
Othman Ally Othman-mkuki, kisahani na tufe.
Cio..
PARALIMPIKI
WANAUME
ZAHARANI MWENEMTI
JOSEPH NZIKU
YOHANA MWILA
WANAWAKE
FAUDHIA CHAFUMBWE
SIWEMA KILYENYI
JANETH MADISE
NGUMI ZA RIDHAA
SULEIMAN SALUM KIDUNDA
VICTOR NJAITI
ABDALAH KASSIM
CIO…


WAOGELEAJI
(WANAWAKE)
MAGDALENA MOSHI
GOURI KOTECHA
MARIAM FOUM


WANAUME
AMMAAR GHADIYALI
OMARI ABDALLAH


JUDO...
MBAROUK SELEMANI MBAROUK
UNDER 81KG MEN JUDO PLAYER
MOHAMED KHAMIS JUMA
OVER 90KG MEN JUDO PLAYER
AZZAN HUSSEIN KHAMIS
UNDER 60KG Judo player


CIO…
WAVU…


WANAWAKE
ZUHURA HASSAN-JESHI STARS
THERESIA Ojode -JESHI STARS DAR
EVERLYNE ALBERT- MAGEREZA
WANAUME
MBWANA ALLY- MZINGA CORPORATION  - MOROGORO
KEVIN PETER -MAGEREZA – DAR
FARHAN ABUBAKAR- MAFUNZO ZNZ
CIO…
NGUMI ZA KULIPWA
Benson Mwakyembe
Nasibu Ramadhan
Francis Cheka
Nassib Ramadhan
Fadhil Majia


TENISI:
WANAUME
WAZIRI SALUMU
OMARY ABDALAH
HASSANI KASSIMU


WANAWAKE
REHEMA ATHUMANI
MKUNDE IDDY
VIOLET PETER
Cio…


BAISKELI
Wanawake
Sophia Hussein
Sophia Anderson
WANAUME:
Richard Laizer
Hamisi Hussein


WACHEZAJI WA TANZANIA WANAOCHEZA NJE
Henry Joseph-Soka
Mbwana Samatta-Soka
Sophia Mwasikili-Soka
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
Theresia Ojode- wavu (Jeshi Stars)
SHOMARI KAPOMBE- (soka) SIMBA
Salum Abubakari-Azam (soka)
MCHEZAJI WA NJE ANAYECHEZA TANZANIA
Haruna Niyonzima-Yanga (soka)
Kipre Tchetche-Azam (soka)
Emmanuel Okwi-Simba (soka).


SOKA (WANAWAKE)
Asha Rashid-Mburahati Queens
Mwanahamisi Omary-Mburahati Queens
Fatuma Mustapha-Sayari
Ito Mlenzi-JKT


WANAUME
John Bocco-Azam
Aggrey Morris-Azam
Juma Kaseja-Simba
RIADHA
WANAWAKE
Zakia Mrisho
Mary Naali
Jaqueline Sakila


WANAUME
Dickson Marwa
Alphonce Felix


MIKONO
WANAWAKE
Abinery Kusencha-JKT Ruvu
Kazad Mtong-Magereza Kiwira
Faraji Shaibu  Khamis-Nyuki Zbar
WANAUME:
Doris Mangara-Magereza Kiwira
Zakia Seif-Ngome Dar
Mary Kimiti-Magereza Kiwira.
Cio…
KRIKETI
WANAWAKE
MoniCa Pascal
Asha Daudi
Esther Wallace


WANAUME
Kassimu Nassoro
Benson Mwita
Riziki Kiseto
TUZO YA HESHIMA-ITATANGAZWA SIKU HIYO
MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA 2011-ATAPATIKANA MIONGONI MWA WASHINDI WA KILA MCHEZO.

OPRAH AT KARDASHIAN'S HOUSE

Oprah spent the day at Jenner's house and she sat down for a long interview, which will air in two parts – the first part will air this Sunday, June 17 at 8 PM and the second part will air Sunday, June 24 at 8 PM!!!

 Oprah & Kim,
Kim defines the moment as a dream come true

Oprah & Jenner
Khloe  & Rob
New camera & lighting crew?!?

Wednesday, June 13, 2012

TAIFA STARS YAJIPANGA KUIKABILI MSUMBIJI

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen amesema ili kuitoa Msumbiji ‘Mambas’ kwenye michuano ya Afrika ni lazima timu yake ishinde mechi ya marudiano itakayochezwa Juni 17 mwaka huu jijini Maputo.

Mechi ya marudiano kusaka tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwakani nchini Afrika Kusini itachezwa kwenye Uwanja wa Taifa ulioko Zampeto nje kidogo ya Jiji la Maputo kuanzia saa 9 mchana kwa saa za huko.

Kim amewaambia Waandishi wa Habari leo (Juni 13 mwaka huu) kuwa maandalizi ya kikosi chake yanakwenda vizuri ingawa ana wachezaji watatu ambao ni majeruhi; kipa Mwadini Ali, na mabeki Nassoro Masoud Cholo na Waziri Salum.

Amesema wachezaji hao hawatakuwemo kwenye msafara wa timu hiyo utakaoondoka Juni 15 mwaka huu saa 11 alfajiri kwa ndege ya Kenya Airways kupitia Nairobi.

Kocha huyo amesema baada ya mechi tatu maendeleo kiuchezaji kwa timu yake inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ni mazuri ingawa bado anafanyia kazi kwa nguvu safu ya ushambuliaji. Mechi iliyopita Taifa Stars iliifunga Gambia 2-1 huku mabao yote yakifungwa na mabeki.

Iwapo Taifa Stars itaitoa Msumbiji katika raundi ya mwisho itapangiwa moja kati ya timu 16 zilizocheza Fainali za AFCON zilizofanyika Januari mwaka huu katika nchi za Gabon na Equatorial Guinea. Katika mechi ya kwanza dhidi ya Msumbiji iliyochezwa Dar es Salaam, Februari 29 mwaka huu timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.

Taifa Stars ambayo msafara wake utakuwa na wachezaji 20 itaagwa kesho (Juni 14 mwaka huu) saa 6 mchana kambini kwao- hoteli ya Accommondia (Tansoma) jijini Dar es Salaam.  Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kwa ajili ya kujenga afya kupitia mpira wa miguu.

KUONA TWIGA STARS, ETHIOPIA 2,000/-
Kiingilio cha chini kwa mechi ya kufuzu kwa fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) kati ya Tanzania (Twiga Stars) na Ethiopia itakayochezwa Jumamosi (Juni 17 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 2,000.

Kiwango hicho ni kwa washabiki kwa viti vya bluu, kijani na rangi ya chungwa. Viti hivyo kwa pamoja vinachukua jumla ya watazamaji 48,590 kwenye uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua washabiki 60,000.

Viingilio vingine kwa mechi hiyo itakayoanza saa 10 kamili jioni ni sh. 5,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 10,000. Tiketi zitauzwa uwanjani siku ya mechi kuanzia saa 3 asubuhi.

Mechi hiyo itachezeshwa na waamuzi Grace Msiska atakayepuliza filimbi wakati wasaidizi wake ni Bernadettar Kwimbira, Happiness Mbandambanda na Linda Chikuni, wote kutoka Malawi. Kamishna ambaye anatoka Kenya ni Maqulate Atieno. Waamuzi hao wanawasili leo.

WAAMUZI KOZI YA FIFA KUPIMWA UFAHAMU WA ALAMA
Waamuzi 54 wanaoshiriki kozi ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) iliyoanza Juni 11 mwaka huu, kesho (Juni 14 mwaka huu) watahamia Uwanja wa Karume kwa ajili ya mazoezi ya alama (signals). Mazoezi hayo yatafanyika kuanzia saa 1-4 asubuhi.

Kozi hiyo itakayomalizika kesho (Juni 14 mwaka huu) inaendeshwa na wakufunzi Carlos Henriques na Mark Mizengo kutoka FIFA wakisaidiwa na wakufunzi wengine wanne wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

Wakufunzi wa TFF ni Kapteni mstaafu Stanley Lugenge, Leslie Liunda, Soud Abdi na Riziki Majala.

Waamuzi wanaoshiriki ni 14 wa Tanzania wenye beji za FIFA ambao ni Erasmo Jesse, Ferdinand Chacha, Hamis Changwalu, Hamis Maswa, Israel Mujuni, John Kanyenye, Josephat Bulali, Judith Gamba, Mwanahija Makame, Oden Mbaga, Ramadhan Ibada, Saada Tibabimale, Samuel Mpenzu na Sheha Waziri.

Washiriki wengine ni 20 wa daraja la kwanza (class one), kati ya hao watano wanatoka Zanzibar. Lakini vilevile wapo waamuzi chipukizi (watoto) 20 ambao mwaka jana walitumika katika michuano ya Kombe la Uhai na Copa Coca-Cola.

Tuesday, June 12, 2012

MUSTAFA HASSANALI AT DAKAR FASHION WEEK

 Pan African designer, Mustafa Hassanali pursues fashion as a religion. Being Tanzania’s premier and most celebrated wedding and evening gown designer. With an A-list clientele, Hassanali is considered a fashion guru.


Mustafa Hassanali, who having showcased in 15 Countries Globally in 24 Cities and also named One of Africa’s Top Male Fashion designer by UK’s NEW AFRICAN WOMAN MAGAZINE

Monday, June 11, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MAZOEZI YA KUTEMBEA ARUSHA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, aliye katika mapumziko mafupi jijini Arusha, akiwa katika mazoezi yake ya  kutembea kilomita tatu kila asubuhi na jioni kabla ya  kufanya mazoezi ya viungo na kuingia gym, katika kuuweka mwili wake katika hali ya ukakamavu na afya.


Wakazi wa Arusha wamefurahiswa sana na hatua hiyo ya kiongozi mkuu wa nchi kuwa mstari wa mbele katika kujenga afya kwa mazoezi ya kila siku


WHO DID US PROUD??????

 Flaviana Matata  beauty queen and fashion Model.


 Flaviana won the first edition of the Miss Universe Tanzania pageant in 2007, and went on to represent Tanzania in the Miss Universe pageant the same year, where she placed among the Top 15 semifinalists and ended up in 6th place after the evening gown competition. She was the first contestant from Tanzania to compete at Miss Universe 2007, and compete with a shaved head.


Millen Happiness Magese


 Former Miss Tanzania,One of the Finest Supermodels from Tanzania Featured not only in International Magazine but Runways As well

 Nancy Sumary

 Nancy Abraham Sumari was Miss Tanzania in 2005 and was also Miss World Africa for the year 2005

 Miriam Odemba


Miriam Odemba  is Miss Tanzania Earth 2008 and Miss Earth Air 2008 (first runner up).
She started her modeling career at an early age and emerged into the limelight in 1997 when she won the Miss Temeke title. The following year she took part in the Miss East Africa beauty pageant and finished second.

Sunday, June 10, 2012

DJ FETTY AT BIGBROTHER HOUSE

 DJ Fetty akifanya vitu vyake, nivizuri ukifanya kazi ikakubalika ndani na nje ya nchi nimaendeleo kwa watanzania ukizingatia ni wiki mbili tu toka Diamond kuperform @ bigbrother house, hii inaonyesha wazi Tanzania kunavipaji nimda wakuvikubali nakuwa wazalendo enough to support them.

 Big up Fetty