Wednesday, June 20, 2012

DIAMOND AVUTA TOYOTA LANDCRUISER PRADO

Diamond akiwa na gari lake jipya aina ya Toyota Land Cruiser Prado. 

Ufanyaji kazi kwa bidii umemfikisha hapo alipo Diamond msanii wa bongo flavour mwenye kipaji kikubwa na aliekubalika na jamii, diamond ameonyesha mafanikio makubwa mwaka huu hasa alipo onekana kwenye nyumba ya Bigbrother Star game ni big stape  Africa nzima iliangalia alivyo performe ilikua ni big opportunity kujitanganza nje na ndani ya nchi.No comments:

Post a Comment