Wednesday, September 5, 2012

MAZISHI YA DAUDI MWANGOSI

 Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini
 
Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko

 Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele
 Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa tayari katika kaburi
 
Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua.
 
Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe.
 
 Dr Slaa akiweka Shada la maua
 
 Mh. Mark Mwandosya akiweka taji la maua pamoja na mke wake

Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi 

No comments:

Post a Comment