Wednesday, June 27, 2012

DKT ULIMBOKA KUFIKISWA MUHIMBILI

 Madaktari wakisubiri gari la wagonjwa lililombeba mpiganaji wa haki za madaktari Dk. Ulimboka wakati akitolewa chumba cha X -ray akipelekwa taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) baada kuokotwa maeneo ya bunju akiwa na majeraha makubwa baada ya kupigwa na watu wasio julikana 



No comments:

Post a Comment