Monday, June 11, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MAZOEZI YA KUTEMBEA ARUSHA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, aliye katika mapumziko mafupi jijini Arusha, akiwa katika mazoezi yake ya  kutembea kilomita tatu kila asubuhi na jioni kabla ya  kufanya mazoezi ya viungo na kuingia gym, katika kuuweka mwili wake katika hali ya ukakamavu na afya.


Wakazi wa Arusha wamefurahiswa sana na hatua hiyo ya kiongozi mkuu wa nchi kuwa mstari wa mbele katika kujenga afya kwa mazoezi ya kila siku


No comments:

Post a Comment