Tuesday, October 9, 2012

WAREMBO MISS TANZANIA WALIPOTINGA MONDULI JANAMke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Regina Lowasa na mtoto wake Robert Lowasa 'Bob" wakicheza Kwaito na Warembo wanaoshiriki shindano la Redds  Miss Tanzania 2012, wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli jana mkoani Arusha. Warembo wa Redds  Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo
Vimwana wanaowania taji la Miss Tanzania 2012 wakiwa mavazi ya kimasai walipokaribishwa Monduli, jana
Wadau hawa nao walikuwepo
 
Mrembo Salha Israel(kulia) anayeshikilia taji la Miss Tanzania akiwa na viongozi wa kamati ya Miss Tanzania, anayemfuatia Bosco Majaliwa, Aidan Ricco na Albert Makoye

No comments:

Post a Comment