Thursday, June 14, 2012

TUZO ZA TASWA DIAMOND JUBILEE

RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ally Hassan Mwinyi, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za utoaji wa tuzo za wanamichezo bora Tanzania Leo(Alhamis) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Abbas Pinto amesema katika Mkutano na Waandishi wa Habari mchana huu, ukumbi wa City Sports Lounge, Mtaa wa Samora, Dar es Salaam kwamba, wamemchangua Mwinyi kwa sababu alikuwa ana mchango mkubwa katika sekta ya michezo enzi zake, akiwa Ikulu tangu 1985 hadi 1995  na kumpa kijiti Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa.

Pinto amesema kwamba maandalizi ya sherehe hizo yamekamilika na anawashukuru sana wadhamini wa tuzo hizo, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa mchango wao mkubwa.
Tuzo hizo, zinazoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo nchinikiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima wa Yanga, atachuana na Kipre Tchetche wa Ivory Coast anayechezea Azam FC na Mganda Emmanuel Okwi wa Simba kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa mwaka wa kigeni.

Kwa upande wa wanasoka wazalendo, tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka inawaniwa na John Bocco, Aggrey Morris, wote wa Azam na Juma Kaseja wa Simba, wakati kwa wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje wanaoshindana ni Henry Joseph wa Kongsvinger ya Norway na Mbwana Samatta wa Tout Puissant Mazembe ya DRC.

Kwa upande wa wanawake, Sophia Mwasikili anayecheza Uturuki, anashindana na Asha Rashid ‘Mwalala’, Mwanahamisi Omary wote wa Mburahati Queens, Fatuma Mustapha wa Sayari na Eto’o Mlenzi wa JKT.



ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO:
KIKAPU:
WANAWAKE
DORITHA  MBUNDA :-JKT QUEENS
EVODIA  KAZINJA:-JKT QUEENS
FARAJA MALAKI:-JESHI STARS
WANAUME
ALPHA KISUSI-Vijana
FILBERT MWAIPUNGU:-ABC
GILBERT BATUNGI:-ABC
NETIBOLI:
LILIAN SYLIDION
DORITHA MBUNDA
GOFU
WANAWAKE:
Madina Iddi (Umri miaka 27)
Hawa Wanyeche (Umri miaka 26)
Ayne Magombe (Umri miaka 24)


WANAUME:
Frank Roman
Nuru Mollel
Issac Anania
GOFU WA KULIPWA:
FADHILI  SAIDI NKYA.
YASINI SALEHE
HASSANI KADIO


OLIMPIKI MAALUM
Ahmada Bakar
Amina Daud Simba-kisahani na tufe
Othman Ally Othman-mkuki, kisahani na tufe.
Cio..
PARALIMPIKI
WANAUME
ZAHARANI MWENEMTI
JOSEPH NZIKU
YOHANA MWILA
WANAWAKE
FAUDHIA CHAFUMBWE
SIWEMA KILYENYI
JANETH MADISE
NGUMI ZA RIDHAA
SULEIMAN SALUM KIDUNDA
VICTOR NJAITI
ABDALAH KASSIM
CIO…


WAOGELEAJI
(WANAWAKE)
MAGDALENA MOSHI
GOURI KOTECHA
MARIAM FOUM


WANAUME
AMMAAR GHADIYALI
OMARI ABDALLAH


JUDO...
MBAROUK SELEMANI MBAROUK
UNDER 81KG MEN JUDO PLAYER
MOHAMED KHAMIS JUMA
OVER 90KG MEN JUDO PLAYER
AZZAN HUSSEIN KHAMIS
UNDER 60KG Judo player


CIO…
WAVU…


WANAWAKE
ZUHURA HASSAN-JESHI STARS
THERESIA Ojode -JESHI STARS DAR
EVERLYNE ALBERT- MAGEREZA
WANAUME
MBWANA ALLY- MZINGA CORPORATION  - MOROGORO
KEVIN PETER -MAGEREZA – DAR
FARHAN ABUBAKAR- MAFUNZO ZNZ
CIO…
NGUMI ZA KULIPWA
Benson Mwakyembe
Nasibu Ramadhan
Francis Cheka
Nassib Ramadhan
Fadhil Majia


TENISI:
WANAUME
WAZIRI SALUMU
OMARY ABDALAH
HASSANI KASSIMU


WANAWAKE
REHEMA ATHUMANI
MKUNDE IDDY
VIOLET PETER
Cio…


BAISKELI
Wanawake
Sophia Hussein
Sophia Anderson
WANAUME:
Richard Laizer
Hamisi Hussein


WACHEZAJI WA TANZANIA WANAOCHEZA NJE
Henry Joseph-Soka
Mbwana Samatta-Soka
Sophia Mwasikili-Soka
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
Theresia Ojode- wavu (Jeshi Stars)
SHOMARI KAPOMBE- (soka) SIMBA
Salum Abubakari-Azam (soka)
MCHEZAJI WA NJE ANAYECHEZA TANZANIA
Haruna Niyonzima-Yanga (soka)
Kipre Tchetche-Azam (soka)
Emmanuel Okwi-Simba (soka).


SOKA (WANAWAKE)
Asha Rashid-Mburahati Queens
Mwanahamisi Omary-Mburahati Queens
Fatuma Mustapha-Sayari
Ito Mlenzi-JKT


WANAUME
John Bocco-Azam
Aggrey Morris-Azam
Juma Kaseja-Simba
RIADHA
WANAWAKE
Zakia Mrisho
Mary Naali
Jaqueline Sakila


WANAUME
Dickson Marwa
Alphonce Felix


MIKONO
WANAWAKE
Abinery Kusencha-JKT Ruvu
Kazad Mtong-Magereza Kiwira
Faraji Shaibu  Khamis-Nyuki Zbar
WANAUME:
Doris Mangara-Magereza Kiwira
Zakia Seif-Ngome Dar
Mary Kimiti-Magereza Kiwira.
Cio…
KRIKETI
WANAWAKE
MoniCa Pascal
Asha Daudi
Esther Wallace


WANAUME
Kassimu Nassoro
Benson Mwita
Riziki Kiseto
TUZO YA HESHIMA-ITATANGAZWA SIKU HIYO
MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA 2011-ATAPATIKANA MIONGONI MWA WASHINDI WA KILA MCHEZO.

No comments:

Post a Comment