Sehemu ya nje ya City Sports Lounge inavyoonekana ikiwa na picha za wanamichezo mbalimbali maarufu Duniani
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba, akizungumza na William Malecela, pembeni ni mkewe Mheshimiwa, Mrs. Makamba, kwenye ufunguzi wa City Sports Lounge. Kiota chaUhakika kilichopo karibu na Mzungungo wa Askari katikati ya jiji la Dar es Salaam.
with jaydee n Gadner
nimetulia tu its a nice place to hang out after work
kwa raha zake
Jarnice n jay dee n gadner