Friday, September 14, 2012

ANIMAL PRINTS

Luv Da Shoe So nice

Picha na profile za warembo Miss Temeke 2012

 Agness Goodluck
 Elizabeth Peter
 Elizabeth Boniphace
 Flaviana Maeda
 Flora Kazungu
Khadija Kombo

Kim Kardashian, Khloe Kardashian, Kourtney Kardashian: Top Looks of 2012

The Kardashian sisters at the 20th Annual Elton John AIDS Foundation's Oscar Viewing Party held at West Hollywood Park on February 26, 2012 in West Hollywood, California.  
Kim Kardashian at the 2012 amfAR's Cinema Against AIDS during the 65th Annual Cannes Film Festival at Hotel Du Cap on May 24, 2012 in Cap D'Antibes, France.
Kim Kardashian at the 2012 BET Awards at The Shrine Auditorium on July 1, 2012 in Los Angeles, California.
Kim Kardashian attends the Vera Wang Spring 2012 fashion show during Mercedes-Benz Fashion Week at The Stage at Lincoln Center on September 13, 2011 in New York City.
Kim Kardashian attends the launch of her weight management product, QuickTrim, in the UK at the St Pancras Renaissance Hotel, London, UK.
Khloe Kardashian at the InStyle Summer Soiree at The London Hotel on August 8, 2012 in West Hollywood, California.
A very pregnant Kourtney Kardashian is spotted shopping in Los Angeles, California on June 1, 2012.
Kourtney Kardashian a the RYU Restaurant Grand Opening at RYU on April 23, 2012 in New York City.

Thursday, September 13, 2012

I'm skinny like a supermodel! Jennifer Hudson looks just as thin as Heidi Klum on the catwalk for Project Runway

 Jennifer Hudson
 Heidi Klum, Nina Garcia, Jennifer Hudson
 Heidi Klum, Nina Garcia, Michael Kort, Jennifer Hudson



 

Heidi Klum and Jennifer Hudson

TATTOO MPYA YA CHRIS BROWN INAYOAMINIKA KUA NI SURA YA RIHANNA


kushoto ndio tattoo yenyewe alafu kulia ni picha iliyopigwa muda mfupi baada ya Rihanna kupigwa.

Tuesday, September 11, 2012

RIHANNA N' CHRIS BROWN

Luv da picture so sweet

TWITE, YONDAN WAIDHINISHWA YANGA

KAMATI ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inayoongozwa na Mwenyekiti , Alex Mgongolwa, jana usiku imewaidhinisha wachezaji Mbuyu Twite na Kevin Yondan kuchezea Yanga katika msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, unaoanza mwishoni mwa wiki hii.

 Kamati hiyo, iliyokaa zaidi ya mara mbili kwa kuzikutanisha Simba na Yanga, zilizokuwa na madai ya kila mmoja kutaka wachezaji hao waiidhinishwe katika timu zao, ilifikia maamuzi hayo jana kwa Yanga kupewa siku 21 kulipa dola 32,000 ambazo Simba SC ilimlipa Twite ili ajiunge nao, lakini baadaye akaghairi na kusaini na kuhamia Yanga.

 Habari za ndani katika kikao hicho, wajumbe walihoji iweje Simba wamteke Kelvin Yondan juzi usiku na kumlazimisha kusaini Simba huku wakiwa na madai kuwa mchezaji huyo alikwisha saini Simba?.

 Katika tukio hilo linalomhusisha mchezaji wa zamani wa Simba na kiongozi wa ngazi za juu wa timu hiyo, halifanikiwa na Yondan alitoa taarifa Polisi za kutekwa na kupewa RB ya kumsaka aliyempeleka Simba bali matakwa yake.

 Katika kikao, cha pamoja baina ya Simba na Yanga Jumatatu kilichovunjika bila kufikia makubaliano kuhusu mustakabali wa wachezaji hao kutokana na kila mmoja kudai ni halali upande wake.

 Katika kikao hicho kilichoanza majira ya saa 7:00 mchana, hoja ya kwanza kuwasilishwa mezani ilikuwa ni suala la beki Twite na upande wa Yanga uliwakilishwa na Sanga na Katibu, Celestine Mwesigwa wakati kwa Simba walikuwepo Makamu Mwenyekiti, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Zacharia Hans Poppe.

 Ikumbukwe, Simba iliwasilisha malalamiko ya kufanyiwa mchezo usio wa kiungwana na Yanga kwa Twite. Ilidai Twite alisaini mkataba na klabu yao Agosti 1, mwaka huu mbele yao, viongozi wa Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) na APR na kulipwa dola za Kimarekani 30,000 na nyingine 2,000 za nauli ya kuja Dar es Salaam kujiunga na klabu hiyo. Hata hivyo, mchezaji huyo akahamia Yanga.

 Katika mjadala huo, Simba ilikubali kurudishiwa fedha zao, lakini viongozi wa Yanga wakasema hawawezi kutoa hadi waombwe radhi na Mwenyekiti wa Simba, Alhaj Ismail Aden Rage, ambaye alisema viongozi wa klabu hiyo yenye maskani yake makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani wana ‘fedha chafu za EPA’.

 Simba wakasema kauli yake ya Rage ilikuwa sehemu ya utani wa jadi, kama ambavyo Yanga walimvalisha jezi Twite yenye jina la Rage. Kufikia hapo, Simba wakasema hawawezi hata kujadili suala la Kevin Yondan na Kamati ya Mgongolwa ikasema itapitia maelezo ya pande zote, watatoa majibu kwa mujibu wa kanuni na sheria Septemba 10, mwaka huu, yaani leo.

 Katika kesi ya Yondan, walalamikaji ni Simba, ambao wanadai beki huyo alisaini Yanga akiwa bado ana mkataba na klabu yao.Awali, Kamati ya Mgongolwa ilikutana Jumapili iliyopita asubuhi hadi usiku, bila kupata suluhisho la pingamizi hizo na kuamua kutumia busara ya kuzikutanisha pande zinazopingana kujaribu kupata suluhu siku iliyofuata.

 

TAARIFA KUTOKA TFF LEO

Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilikutana jana (Septemba 10 mwaka huu) ili kupitia na kutoa uamuzi/ushauri kwa masuala mbalimbali yaliyowasilishwa mbele yake.

 Wajumbe sita kati ya saba waliopo walihudhuria kikao hicho chini ya Mwenyekiti Alex Mgongolwa. Wajumbe hao ni Hussein Mwamba, Imani Madega, Ismail Aden Rage, Llyod Nchunga na Omari Gumbo.

 Suala la ugombea wa Michael Wambura katika FAM

Michael Wambura aliomba uongozi katika Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mara (FAM) katika uchaguzi uliofanyika Novemba mwaka jana. Kamati ya Uchaguzi ya TFF iliondoa jina lake kwa kukosa sifa ya kugombea nafasi hiyo.

 Wambura hakuridhika na uamuzi huo akapeleka shauri lake Kamati ya Nidhamu ya TFF. Kamati hiyo katika uamuzi wake ilisema haina mamlaka ya kushughulikia shauri hilo. Baadaye Wambura alikata rufani katika Kamati ya Rufani ya TFF ambayo ilimpa haki ya kugombea.

Kutokana na mkanganyiko huo wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF kuwa na uamuzi wa mwisho katika masuala ya uchaguzi ya wanachama wa TFF, na uamuzi wa Kamati ya Rufani kuhusu uchaguzi wa mwanachama wa TFF, Sekretarieti ya TFF iliomba mwongozo wa kisheria kwa Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji.

 Kwa vile Kamati hizo mbili (Uchaguzi na Rufani) haziko katika mtiririko wa moja kwa moja wa utoaji maamuzi, Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji iliishauri Sekretarieti ya TFF kuliandikia Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) ili kupata muongozo juu ya suala hilo.

Katika muongozo wake, FIFA ilitoa maoni kuwa kwa mujibu wa Katiba ya TFF chombo cha mwisho cha rufani katika masuala ya uchaguzi kwa wanachama wa TFF ni Kamati ya Uchaguzi ya TFF. Hata hivyo, FIFA ilishauri kuwa si vizuri chombo kimoja kikawa msimamizi wa uchaguzi, na chenyewe tena ndiyo kiwe cha mwisho katika uamuzi kwenye uchaguzi husika.

 Hivyo, Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji imetoa mapendekezo mawili kwenda Kamati ya Utendaji kwa ajili ya marekebisho ya Katiba ili kiwepo chombo kingine cha rufani pale mgombea anapopinga uamuzi wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF.

Mapendekezo hayo ni; Iundwe Kamati ambayo itakuwa inasikiliza rufani zote zinazotokana na uamuzi uliofanywa na Kamati ya Uchaguzi ya TFF, hivyo Kamati ya Uchaguzi ya TFF isiwe chombo cha mwisho cha uamuzi kwa rufani zinazotokana na uchaguzi wa wanachama wa TFF.

AU. Rufani zote zinazotokana na uchaguzi wa wanachama wa TFF zisikilizwe na Kamati ya Rufani ya TFF. Kwa maana hiyo Kamati ya Rufani ya TFF ndiyo kiwe chombo cha mwisho kwa wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF kuwasilisha malalamiko yao.

 USAJILI/PINGAMIZI DHIDI YA WACHEZAJI

Musa Hassan Mgosi, Ayoub Hassan Isiko

Mchezaji Musa Hassan Mgosi ameombewa usajili Ruvu JKT kutoka DC Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), na Ayoub Hassan Isiko ameombewa usajili Mtibwa Sugar kutoka Bull FC ya Uganda. Wachezaji hao hawaruhusiwi kuchezea timu hizo mpaka Hati zao za Uhamisho wa Kimataifa (ITC) zitakapokuwa zimepatikana.

 
Toto dhidi ya Kagera Sugar kumsaini Enyinna Darlinton Ariwodo

Toto Africans ilipinga usajili wa Enyinna Darlinton kwa timu ya Kagera Sugar kwa vile bado ina mkataba wa mchezaji huyo ambao unamalizika mwakani. Kwa upande wake Kagera Sugar ilisema imemsaini mchezaji huyo kwa vile Toto Africans imeshindwa kumlipa mshahara ambapo kuna makubaliano rasmi kati ya Ariwodo kuwa klabu hiyo ikishindwa kumlipa mshahara anaruhusiwa kuondoka.

Uamuzi wa Kamati ni kuwa Ariwodo ni mchezaji halali wa Kagera Sugar kwa vile Toto Africans ilishindwa kutimiza masharti ya mkataba.

 
Ramadhan Chombo ‘Redondo’

Redondo ameidhinishwa kuchezea Simba kwa kuzingatia mchezo wa haki na uungwana (Fair Play) baada ya klabu hiyo na ile ya Azam kufikia makubaliano kuhusu mchezaji huyo.

 
Mchezaji David Luhende kusajiliwa Yanga

Yanga ilikiri kutolipa ada ya uhamisho ya sh. milioni 5 kama walivyokubaliana na Kagera Sugar. Awali waliipa Kagera Sugar hundi iliyogonga mwamba benki (bounced cheque). Shauri hilo lilimalizwa kwa Yanga imetakiwa kulipa fedha hizo ndani ya siku 21 kuanzia Septemba 10 mwaka huu.

 Super Falcon dhidi ya Edward Christopher kusaini Simba

Simba imepewa siku 21 kuanzia Septemba 10 mwaka huu iwe imeilipa Super Falcon fedha za matunzo (compensation) kwa vile ndiyo iliyomlea mchezaji Edward Christopher aliyesajiliwa katika klabu hiyo.

 Toto Africans dhidi ya Mohamed Soud kusajiliwa Coastal Union

Toto Africans iliweka pingamizi kwa maelezo kuwa bado ina mkataba na mchezaji huyo. Hivyo kwa msingi wa Fair Play, mchezaji huyo ameidhinishwa Coastal Union baada ya makubaliono kati ya klabu.

 Rollingstone dhidi ya Kigi Makassy kusajiliwa Simba

Simba imetakiwa kuilipa Rollingstone gharama za matunzo ilizoingia wakati ikiwa na mchezaji huyo kwa kuzingatia kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).

 Super Falcon dhidi ya Sultan Juma Shija kusajiliwa Coastal Union

Uamuzi wa Kamati ni kuwa Shija atachezea Coastal Union, na kwa vile yuko chini ya umri wa miaka 23, Coastal Union itailipa Super Falcon fidia ya fedha ilizotumia kumhudumia mchezaji huyo.

 African Lyon dhidi ya Razak Khalfan kusaini Coastal

Lyon imesema bado ina mkataba na mchezaji huyo. Kamati imebaini kuwa mkataba wa mchezaji huyo na Lyon umemalizika, hivyo ni mchezaji halali wa Coastal Union.

 
Flamingo dhidi ya Kelvin Friday kusajiliwa Azam

Friday ruksa kucheza Azam, lakini klabu hiyo imepewa siku 21 kuanzia Septemba 10 mwaka huu kuilipa Flamingo gharama za kuvunja mkataba.

 Super Falcon dhidi ya Robert Joseph Mkhotya kusaini African Lyon

Lyon imeagizwa kuilipa Super Falcon sh. milioni moja ikiwa ni fidia ya kuvunja mkataba wa mchezaji huyo ambaye imemsajili. Fedha hizo zitalipwa kwa awamu nne kutokana na makato ya mlango yatakayofanywa na TFF. Falcon itapokea malipo hayo kupitia TFF.

 Oljoro JKT dhidi ya Othman Hassan kusajiliwa Coastal

Kwa mujibu wa rekodi za TFF, mkataba wa mchezaji huyo na Oljoro JKT unamalizika mwakani. Hivyo, Othman Hassan ni mchezaji halali wa Oljoro JKT kwa vile bado ana mkataba na klabu hiyo.

 Yanga dhidi ya Simba kuacha wachezaji wanne

Kamati imetupa pingamizi hizo kwa vile hakuna malalamiko yoyote kutoka kwa wachezaji juu ya kuvunjiwa mikataba yao. Wachezaji hao walioachwa na Simba ni Dan Mrwanda, Haruna Shamte, Kanu Mbiavanga na Lino Masombo. Ikiwa wachezaji hao watakuwa na malalamiko kuhusu kuvunjiwa mikataba suala hilo litafikishwa katika Kamati kwa ajili ya kusikilizwa na kutolewa uamuzi.

 Mbuyu Twite

Kwa mujibu wa Ibara ya 18(3) ya Kanuni za Hadhi na Uhamisho wa Wachezaji wa Kimataifa za FIFA, Yanga ilifuata taratibu zote katika kumsajili Mbuyu Twite, hivyo ni mchezaji wake halali. Hata hivyo, kwa vile Yanga imekiri kuwa mchezaji huyo alichukua dola 32,000 za Simba na kukiri kuzirejesha, kwa msingi wa kanuni ya Fair Play, Kamati imeipa Yanga siku 21 iwe imelipa fedha hizo Simba.

 Kelvin Yondani

Kwa mujibu wa Ibara ya 44(3) ya Kanuni za Uhamisho wa Wachezaji za TFF, Yanga ilifuata taratibu zote katika kumsajili Kelvin Yondani, hivyo ni mchezaji wake halali.

 Kwa vile Simba imesema mchezaji huyo vilevile alisaini mkataba na klabu yao, imetakiwa kupitia mamlaka nyingine kuthibitisha hilo, na baada ya uthibitisho iwasilishe malalamiko yake kwenye Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji, au mamlaka zozote za kisheria kwa mujibu wa madai/lalamiko husika.



Monday, September 10, 2012

Ryan Reynolds and Blake Lively Are Married

Ryan Reynolds has married Blake Lively.

The couple tied the knot on Sunday night in Mt. Pleasant, S.C., a source confirmed to People.
Reynolds, 35, and Lively, 25, were first romantically linked about one year ago. The two co-starred in the 2011 superhero flick Green Lantern.
This is the second marriage for Reynolds. The Canadian actor was previously married to Scarlett Johanson. Their divorce was finalized in 2011.

 
 
 

BSS 2012

BSS 2012, Kuna Vipaji ila Lily Nyato, to be honest yupo vizuri hope utafika mbali mamii, jamani support yenu inahitajika.

MARTIN WITH KARDASHIANS

Back stage martin with Kim K sisters

NOELA ALIVYOTWAA MISS ILALA 2012

 Miss Ilala aliyemaliza muda wake, Salha Israel(kushoto) akiwa na Noela Michael
 Miss Ilala 2012, Noela Michael na mshindi wa pili, Magdalena Munisi(kushoto) na mshindi wa tatu, Mary Chizi
 Magdalena Munisi akiwa na kivazi cha ubunifu ktk shindano hilo.
 Noela Michael na Elizabeth Perty wakiwa na vazi la ufukweni
 Warembo katika shoo ya ufunguzi
Amina Sangawe akiwa na vazi la ubunifu
Banana Zorro na B Band wakitumbuiza.jpg