Friday, October 12, 2012

Colombiana - Trailer


When Cataleya was a nine-year-old in Bogotá, Colombia, her mother and father were brutally murdered. As an adult, Cataleya (like the flower Catalina, as the movie points out several times) is seeking revenge and will kill, kill, kill at any cost. i love this movie i can repet a i a million times

Tuesday, October 9, 2012

RIHANNA HAS NEW FRAGRANCE CALLED NUDE!!!

Rihanna is not only busy recording her next studio album but she is also gearing up to release her third fragrance.
There has been speculation as to what the name of the much anticipated fragrance would be and it seems we can now gets some errands.
Rihanna released via Twitter/Instagram that the fragrance is entitled ’Nude’ and is scheduled to be released this Fall (in time for the Holiday season). She tweeted, “Here is my new add for a brand new fragrance #NUDE !!! Make sure you smell sexy, especially naked, this fall!!!”

LUCKY CREATION COLLECTION FROM MARIDADI FASHION SHOW









WAREMBO MISS TANZANIA WALIPOTINGA MONDULI JANA



Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Regina Lowasa na mtoto wake Robert Lowasa 'Bob" wakicheza Kwaito na Warembo wanaoshiriki shindano la Redds  Miss Tanzania 2012, wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli jana mkoani Arusha. Warembo wa Redds  Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo
Vimwana wanaowania taji la Miss Tanzania 2012 wakiwa mavazi ya kimasai walipokaribishwa Monduli, jana
Wadau hawa nao walikuwepo
 
Mrembo Salha Israel(kulia) anayeshikilia taji la Miss Tanzania akiwa na viongozi wa kamati ya Miss Tanzania, anayemfuatia Bosco Majaliwa, Aidan Ricco na Albert Makoye

MISS MANYARA ATINGA 16 BORA MISS TZ

MREMBO,  Lucy Stephano juzi usiku alifanikiwa kukata tiketi ya kuingia 16 bora ya Redd’s Miss Tanzania, baada ya kufanikiwa kutwaa taji la mrembo mwenye mvuto na muonekana mzuri zaidi katika picha (Miss Photogenic).

 
Katika shindano  hilo lililofanyika katika ukumbi wa E’Manyata Lodge mjini Monduli, ushindani mkubwa ulikuwa kati yake na Miss us Miss Dar Indian Ocean, Diana Hussein na mshindi wa pili wa Miss Ilala , Magdalena Roy.

 
Kwa kufanikiwa kwake kutwaa taji hilo, Lucy ambaye ni mrembo wa mkoa Manyara na mwakilishi wa kanda ya Kaskazini amejipatia tiketi ya moja kwa moja ya kuingia 16 bora ya Miss Tanzania, akiwa mrembo wa kwanza kujihakikishia nafasi ya juu ya fainali ya Miss Tanzania  Novemba 3 mwaka huu, yatakayofanyika Ubungo Plaza.

 Shindano jingine dogo la kupata mrembo atakayefuatia kuingia 16 bora, linatarajiwa kufanyika Jumamosi  ili kumpata mwanamitindo bora ‘Top model’ wa Tanzania 2012, shindano litakaloitwa usiku wa Redd’s Miss Tanzania likifanyika Naura Spring mjini, Arusha.

 Warembo walioingia tano bora kutoka kulia Madgalena Roy(City Center-Ilala), Babylove Kalala(Kagera-Kanda Ziwa), Lightness Michael(Dodoma-Kati Kanda), Lucy Stephano(Manyara-Kanda Kaskazini) na Diana Hussein( Indian Ocean-Kinondoni)
Mkurugenzi wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga akitangaza mshindi wa Miss Photogenic mbele ya warembo walioingia tano bora.

 

SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAR 14 - 17 FEB 2013

 
 
Sauti za Busara. East Africa’s No. 1 festival celebrates the richness and diversity of African music, under African skies.
The 10th edition takes place in the Old Fort, Zanzibar Stone Town during 14 – 17 February 2013. The Old Fort will host three nights of non-stop live music, with the main programme continuing Friday through Sunday with performances from 5pm until 1am.
Highlights of the festival include:
  • 200 musicians: upcoming and established groups, acoustic and electric, from East Africa and beyond. 20+ groups, all performing 100% live.In the Old Fort shows continue on the main stage Friday through Sunday with performances from 5pm ‘til 1am.
  • Best of the Best - highlights and audience favourites of past festivals.
  • African Music Films: documentaries, music videos and live concert footage.
  • Movers & Shakers: Daily networking forum for local and visiting arts professionals.
  • Festival marketplace: food and drinks, music CDs, jewellery, clothing and handicrafts.
  • Busara Xtra: Around festival time, the island is buzzing with a range of fringe events: traditional ngoma drum and dance, fashion shows, dhow races, open-mic sessions, after-parties and performances of Zanzibar’s oldest Taarab orchestras are arranged by the local community. We recommend adding a week or more to your trip for unwinding at the beach, exploring cultural tours and safaris.

Sunday, October 7, 2012

Fiesta na Rick Ross ilivyorind​ima Dar

 Rick Ross
 Rick Ross
 Lina wa THT akifanya vitu vyake
 Mashabiki Fiesta walivyojazana
Umati Fiesta