Innocence of Muslims is the Muhammad Movie by Sam Bacile that caused Muslims to kill United States ambassador, J Christopher Stevens. The anti Islam video claims Islam is a lie and Mohammed was a pedophile. Reviews of the Muhammad Film have ranged from "Disgusting" to "the riot laugh of the summer." All rights to Sam Becile or whoever made this film.
Friday, September 21, 2012
WHO WORE IT BETTER?????
Charlize Theron or Kim
Beyonce or America Ferrera
Diana Agron or Kim K
Jennifer Lawrence or Kim K
Jlo or Victoria
lindsy, Kim or Kat Perry
Rihanna or Kim
Rachel Ray or Kim
Kardashian Sisters
Jessica Alba or Mary J Blige
REDD’S MISS TEMEKE KUZOA MIL 1.5 LEO
Mariedo kuwavika magauni, viatu vya kisasa
MALKIA atakayetwaa taji la Redd’s Miss Temeke 2012
katika shindano linalofanyika Leo Ijumaa Sept 21 katika ukumbi wa PTA(SabaSaba
Hall), atajinyakulia zawadi zinazofikia milioni 1.5 sanjari na tiketi ya moja
kwa moja kushiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania baadaye mwaka huu.
Katika mlolongo huo wa zawadi, mshindi wa kwanza
atajinyakulia fedha taslim Sh. Milioni 1. Mshindi wa pili atajinyakulia fedha taslim
Sh.laki nane wakati mshindi wa tatu atapata Sh. Laki saba na washindi wote
watatu kila mmoja atajipatia nguo ya kutokea jioni sanjari na viatu, vikiwa na
thamani ya kila mmoja Sh. Laki 5.
Duka la kisasa la Mariedo Boutique itatoa gauni la
Sh.350,000 na kiatu cha Sh 150,000 kila mmoja kwa washindi hao watatu wa kwanza
watakaoshinda. Mbali ya washindi hao, mshindi wa nne atajinyakulia kitita cha
Sh. 400,000 ambapomshindi wa tano ataondoka na Sh 300,000 wakati warembo wengine
wote watakaosalia kila mmoja atapata Sh.200.000.
Ikiwa ni funga dimba ya mashindano ya urembo ya
kanda nchini, shindano hilo litanogeshwa na wasanii wanaong’ara katika luninga,
Mpoki wa kundi la Komed Original na Steve Nyerere ambaye mbali ya kuigiza sauti
za watu mbalimbali, pia ametoa filamu kadhaa kwa siku za hivi karibuni.
Mbali ya wasanii hao, bendi ya Mashujaa Musica,yenye
wanamuziki nguli kama Charles Baba, MCD, Ferguson, Ali Akida sanjari na
wanennguaji kama Lilian Internet na wengineo pia itanogesha usiku huo.
Taji la Redd's Miss Temeke, linashikiliwa na mrembo
Husna Twalib. Warembo wa Miss Temeke wamekuwa wakijifua kwa wiki tatu sasa
chini ya ukufunzi wa Leyla Bhanji, ambaye amekuwa akisaidiwa pia na warembo wa
miaka ya nyuma wa Miss Temeke akiwemo, Regina Mosha(20020, Hawa Ismail(2003),
washiriki wa mwaka jana Joyce Maweda, Mwajabu Juma, Cynthia Kimasha na katika
shoo wamekuwa na Dickson Daud kutoka kundi la THT.
Shoo ya ufunguzi itakuwa tofauti kabisa na shoo
nyingine yeyote iliyowahi kuyanyika nchini, kwani imezingatia zaidi urembo na
nini msichana anatakiwa kufanya na si unenguaji tu. Warembo 15 wanatoka katika
vitongoji vya Kigamboni, Kurasini na Chang'ombe ambapo kila sehemu wametoka
warembo watano ambapo washindi watatu wa kwanza watapata fursa ya moja kwa moja
kushiriki Redds Miss Tanzania 2012.
Warembo hao ni Agness Goodluck, Angela Gasper,
Flaviana Maeda,Edna Sylvester, Catherine Masumbigana, Khadija Kombo, Neema
Doreen, Flora Kazungu, Lilian Joseph, Elizabeth Peter, Elizabeth Boniphace,
Jesca Haule, Zulfa Bundala, Mariam Ntakisivya na Esther Albert.
Mbali ya Redd's, Miss Temeke 2012 pia imedhaminiwa
na City Sports Lounge, Jambo Leo, Mariedo Boutique, Global Publishers, Dodoma
Wine, Push Mobile, Mariedo Boutique,
100.5 Times FM, Kitwe General Traders, Fredito Entertainment,
katejoshy.blogsport.com na 88.4 Cloud's FM.
Temeke imewahi kutwaa taji la Miss Tanzania mara
tatu, kupitia warembo Happiness Sosthenes Magesse aka Millen mwaka 2001, Sylvia
Remmy Baham mwaka 2003 na Genevieve Mpangala. Lakini pia imetoa warembo
waliowahi kushika nafasi ya pili na tano bora katika Miss Tanzania kama Jokate
Mwegelo, Irene Uwoya, Irene Kiwia, Queen David, Cecylia Assey, Sabrina Slim,
Miriam Odemba, Ediltruda Kalikawe na Asela Magaka.
Wednesday, September 19, 2012
MASHUJAA MPOKI, STEVE NYERERE KUIPAMBA MISS TEMEKE
Bendi ya Mashujaa Musica, ndiyo itakayolinogesha shindano la Redds Miss Temeke, litakalofanyika Ijumaa Sept 21, kwenye ukumbi wa PTA(Sabasaba Hall), ikiwa ni funga dimba ya mashindano ya urembo jijini Dar es Salaam na mikoani kwa ujumla kwa mwaka huu.
Mashujaa inayoundwa na wanamuziki wengi nguli akiwemo Charles Baba, MCD, Ferguson, Ali Akida na wengineo, ni mara yao ya kwanza kufanya shoo katika mashindano ya kanda, hivyo wamejipanga vilivyo kukidhi kiu ya mashabiki wao.
Mbali ya Mashujaa, msanii nguli katika kundi la Ze Comedy Original, Mpoki sanjari na Steve Nyerere watainogesha Redd's Miss Temeke, ikiwa ni buradani tosha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam, ambao tayari wamekwisha shuhudia shoo za Redd's Miss Ilala na Redd's Kinondoni zilizofanya mwanzo.
Taji la Redd's Miss Temeke, linashikiliwa na mrembo Husna Twalib. Warembo wa Miss Temeke wamekuwa wakijifua kwa wiki tatu sasa chini ya ukufunzi wa Leyla Bhanji, ambaye amekuwa akisaidiwa pia na warembo wa miaka ya nyuma wa Miss Temeke akiwemo, Regina Mosha(20020, Hawa Ismail(2003), washiriki wa mwaka jana Joyce Maweda, Mwajabu Juma, Cynthia Kimasha na katika shoo wamekuwa na Dickson Daud kutoka kundi la THT.
Shoo ya ufunguzi itakuwa tofauti kabisa na shoo nyingine yeyote iliyowahi kuyanyika nchini, kwani imezingatia zaidi urembo na nini msichana anatakiwa kufanya na si unenguaji tu. Warembo 15 wanatoka katika vitongoji vya Kigamboni, Kurasini na Chang'ombe ambapo kila sehemu wametoka warembo watano ambapo washindi watatu wa kwanza watapata fursa ya moja kwa moja kushiriki Redds Miss Tanzania 2012.
Warembo hao ni Agness Goodluck, Angela Gasper, Flaviana Maeda,Edna Sylvester, Catherine Masumbigana, Khadija Kombo, Neema Doreen, Flora Kazungu, Lilian Joseph, Elizabeth Peter, Elizabeth Boniphace, Jesca Haule, Zulfa Bundala, Mariam Ntakisivya na Esther Albert.
Temeke imewahi kutwaa taji la Miss Tanzania mara tatu, kupitia warembo Happiness Sosthenes Magesse aka Millen mwaka 2001, Sylvia Remmy Baham mwaka 2003 na Genevieve Mpangala.
Lakini pia imetoa warembo waliowahi kushika nafasi ya pili na tano bora katika Miss Tanzania kama Jokate Mwegelo, Irene Uwoya, Irene Kiwia, Queen David, Cecylia Assey, Sabrina Slim, Miriam Odemba, Ediltruda Kalikawe na Asela Magaka.
Mbali ya Redd's, Miss Temeke 2012 pia imedhaminiwa na Kampuni ya GlobalPublishers kupitia magazeti yake pendwa na Website yao, Dodoma Wine, gazeti la Jambo Leo, Push Mobile, City Sports Lounge, Mariedo Boutique, 100.5 Times FM, Kitwe General Traders, Fredito Entertainment, katejoshy.blogsport.com na 88.4 Cloud's FM.

Redds Miss Temeke
Baadhi a washiriki wa Redds Miss Temeke itakayofanyika Ijumaa wiki hii kwenye ukumbi wa PTA. Tiketi zinapaikana City Sports Lounge na Nyumbani Lounge kwa zile za VIP 50,000@
Agness Goodluck (20)
Lilian Joseph (20)
Neema Doreen (20)
Zulfa Bundala (21)
Flaviana Maeda (22)
Elizabeth Peter (21)
Miriam Ntakisivya (21)
Miss Temeke namba 2 wa mwaka 2010, Cynthia Kimasha, akiwapa uzoefu washiriki wa Miss Temeke 2012 |
Elizabeth Bonigace (19) Catherine Masumbigana (21) |
Kutoka kulia Yasson Mashaka, Mjumbe Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye, Mkuu wa Itifaki na Hashim Lundenga, Mkurugenzi. Aneyefuatia ni Benny Kisaka, Mkurugenzi BMP na Hiddan Ricco, Ofisa Uhusiano wa Kamati ya Miss Tanzania
Kutoka kulia Cynthia Kimasha, Leilla Bhanji, Mwajabu Juma, Miss Temeke namba 3 mwaka jana na Joyce Maweda, Miss Chang'ombe namba 3 mwaka jana.
Warembo wakicheza shoo
Tuesday, September 18, 2012
KIJANA ANAETAFUTA UMAARUFU KWA NGUVU KWA KUMPONDA PETER MSECHU FACEBOOK
UKIWA KAMA FAN WANGU ULIE NISSUPORT TOKA NIMEANZA KAZII HII YA MUSIC NAKUOMBA PITIA MDAHALO HUU NILIOUFANYA NA MTU MMOJA HUMU FACEBOOK ANAEITWA HEMEDY JUMA AMBAYE NILIYESONA NAE SHULE MOJA GALANOS TANGA TUKIWA SIO MARAFIKI WAKARIBU HAPA AKIJARIBU KUNIVUNJA MOYO NA KUSEMA YOTE ANAYONICHUKIA MOYONI MWAKE
Hemedy Jumaa
about an hour ago
...
Hemedy Jumaa
about an hour ago
...
Hemedy Jumaa
proud u r xul brada..c 2nakuangalia tu ulvyovnga bt kumbuka yale mapalachich uliyokuw ukimuibia babu matnda na lile dish kubw ukijaz kande ndan..tena unakuja kukaa kwa 4rm one pale agriculture block.unakumbuka?? Au unajifany supastar njaa!? Ndan ya galanos boys hyo.
Peter Msechu

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha unahatari sana we jamaaaaa
Hemedy Jumaa
about an hour ago
Hemedy Jumaa
alaf mpaka snapz zipo..ukibisha tu.naweka kwenye mtandao.ndo mana nikainbox natak ibk kuw siri.
Peter Msechu
about an hour ago
Peter Msechu
weka ziweke tu tena hizo ndo zinapendwa sana na fans wangu
Hemedy Jumaa
58 minutes ago
Hemedy Jumaa
unajua ulikuw fuckar kinyama coz kwanz uniform zako zilikuw unproper,yan full rough dude!! U ddnt dreamnt 2 be famouz nahz umeroga coz unaoneka witch supoter.fuckyy
Peter Msechu
57 minutes ago
Peter Msechu
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha poleeeeeeeeeeeeeee
Hemedy Jumaa
44 minutes ago
Hemedy Jumaa
i dnt gv all fucka lyk u bitch assup nga..i hate u from ma heart? Motherfaka dude..even ma gal hate u bcoz of ur bodyshape.ur shapeness plus ur dreadyhair u mess.
Peter Msechu
33 minutes ago
Peter Msechu
ha ha ha ha ha ha ha poa tu... haina noma huyo ni gal wako banaah mi anihusu... you all haters... ambao you can do nothing to take away my fame i built it myself... enjoy bro..
Hemedy Jumaa
23 minutes ago
Hemedy Jumaa
r u sur u built dat fame uself??? Do u see hw u r? U dnt hv ata shy!? Coz we were suport u since BSS up to TUSKER PROJECT FAME....i hv been voted u in both competition.bt later on i realize ur nt a wize man..i checked sme radio and tvz interviewz i saw u seemz 2 dis u r xul lyf bt rememb.da voterz were galanos dudez bcoz when we saw u in bss we had ben 2 each other bt da mata 2 tak u up.brada.xo do u believ me hw fucka u r? Crash me if iz wrng
Peter Msechu
8 minutes ago
Peter Msechu
haikuwa lazima u vote mkuu ungeacha tu... so kwa sababu ulivote ndo unataka uamkiwe??? pole sana aiseee... kama ulivote thanks kama unadai refund pole sana..... bss nimepata kura zaidi ya milioni 90 so kura yako moja sidhani kama ungeacha kupiga ingeleta effect yoyote and by the way pipo voted for my voice... my voice is what is taking me far mkuu u can do nothing to it... nimeenda tusker nimepigiwa kura billioni 9.7 zote kutaka nicha 5 africa do you think with these two sms of yours unanitumia zitanidiscourage??? pole pole pole sana... ur just a little fish in a ocean.... sema utakacho but up to now msechu is some1 recorgonisable east and central africa and now working hard in USA.. just to go more steps ahead... fanya kitu mkuu utafika tu.. sio wakati wako kudiscuss msechu anamapungufu gani.. haitokusaidia zaidi itakufanya utukane tu matusi ambayo hayatokusaidia wala kunisaidia wala kuniongezea au kunipinguzia kitu..... am working hard na mungu ananilipa... kalia facebook one day utalipwa..... siku zote watu uanza na 1 na mwishoe kupata 100 kama nilikuwa naiba parachichi kwa babu na kula dish zima la makande its fine ndo nilikuwa naanza but for now namshukuru mungu naweza lisha forks kama wewe atleast mwaka mzima... ushauri wangu... wewe na garlfriend wako kaaeni chini tafuteni cha kufanya mkikalia kutafuta msechu alifanya nini na sasa anafanya nini mtaishia kupasuka vichwa am on my way there with my family... happly with my 1 lovely daughter.... ubarikiwe sana mkuu. see more
http://www.facebook.com/?ref=logo#!/photo.php?fbid=380267108672189&set=a.101116516587251.2377.100000667101178&type=1&theater¬if_t=photo_comment_tagged

Amber Rose Shows Off Growing, Pregnant Stomach
Amber Rose is excited about her upcoming baby with boyfriend Wiz Khalifa ... so much so, she shared a photo Monday morning (September 17), showing off her growing stomach.
"Good morning Rosebuds & Rosestuds Our lil wizbud Is growing so fast ;-)," she wrote on Twitter (@DaRealAmberRose), accompanied by the above photo.
If you haven't been following Wiz and Amber's relationship, the couple nnounced the news at this year's MTV Video Music Awards earlier this month. "Well, Sway, you know you my brother man, so we had to do it with you first and we had to do it with the whole world, and just let everybody know that we're expecting a beautiful young baby," Khalifa said on the VMAs red carpet.
The baby will be the couple's first child. At press time, it's unknown when it is due.

Monday, September 17, 2012
Lonka ft.Neybar-Muziki Na Maisha.
Big Up to Lonka n Neybar nice song i luv da lyrics " Wasanii wanaofanya vizuri inasikitisha hao ndio wanapata sifuri" kweli Muziki na Maisha
Lady Gaga goes floral at London Fashion Week
Lady Gaga attends the Philip Treacy show on day trhee of London Fashion Week Spring/Summer 2013 on Sept. 16, 2012.
Flaviana Matata n Lady Gaga
Ally Rhemtullah Collections
Kivazi cha kiume
Mambo ya mtoko hayo
Mtoko wa usiku
Mashabiki wakifuatlia
Mashabiki waliohudhuria
Ally Rhemtullah(pili) kushoto, Nancy Sumary na Sinta aka J wake Lo
ubunifu pia kwa waliohudhuria kama hawa
mwanamitindo jukwaani
KAMATI YA MISS TZ
Kamati ya Miss Tanzania leo inatarajiwa kutembelea kambi ya Redd’s Temeke 2012, kubwa ni kuwafunda vimwana hao kutoka Vitongoji vya Kigamboni, Kurasini na Chang’ombe, kuhusu mambo mbalimbali ndani ya mashindano ya urembo.
Kamati hiyo itaongozwa na Mkurugenzi wake, Hashim Lundenga atakayefuatana na mshauri wa masuala ya urembo katika kamati yao, Dk. Ramesh Shah, katibu Bosco Majaliwa, Mkuu wa Itifaki, Albert Makoye na mjumbe wa kamati hiyo, Lucas Rutta.Shindano la Redd’s Miss Temeke, linafanyika Ijumaa hii katika ukumbi wa PTA(SabaSaba Hall) na tiketi za VIP zimeshaanza kuuzwa katika Club za City Sports Lounge iliyopo makutano ya Samora na Azikiwe na Nyumbani Lounge iliyopo maeneo ya Namanga ambapo VIP kwa mtu mmoja ni Tshs 50,000 na pia waweza nunua kwa meza moja ama ya watu 8 kwa laki 4 au watu kumi laki 5.
Warembo hao ni Agness Goodluck, Angela Gasper, Flaviana Maeda,Edna Sylvester, Catherine Masumbigana, Khadija Kombo, Neema Doreen, Flora Kazungu, Lilian Joseph, Elizabeth Peter, Elizabeth Boniphace, Jesca Haule, Zulfa Bundala, Mariam Ntakisivya na Esther Albert.Mbali ya vinywaji vya Redd’s na Dodoma Wine, Miss Temeke pia imedhaminiwa na gazeti la Jambo Leo, katejoshy.blogspot.com, Mariedo Boutique, Push Mobile, City Sports Lounge, 100.5 Times FM, Kitwe General Traders, Global Publishers na 88.4 Cloud’s FM.
Warembo wanaowania taji la Redd’s litakalofanyika Ijumaa hii Sept 21, kwenye ukumbi wa PTA(Sabasaba Hall), wakiwasiliza wakufunzi wao kutoka kulia Joyce Maweda, Leyla Bhanji, Hawa Ismail na Mwajabu Juma wakati wa mazoezi yao jana kwenye Club ya TCC Chang’ombe.(Picha BMP Promotions)
Warembo wanaowania taji la Redd’s wakiwa mazoezini jana kwenye Club ya TCC Chang’ombe jana. Shindano hilo litafanyika Ijumaa hii Sept 21, kwenye ukumbi wa PTA(Sabasaba Hall).(Picha na BMP Promotions)
Subscribe to:
Posts (Atom)