Saturday, May 26, 2012

Diamond ndani ya Bigbrother Africa

Diamond kuperform katika eviction show on sunday 27th May, kipaji kijana anacho tena sana kwenye matangazo ndio usiseme, najua utafunika tu kama kawa kwakuimba tu kaka hunampinzani

Thursday, May 24, 2012

PROUD AFRICAN


shufaa's kitchen party (coming soon) lol


Just left with 9 days for my sweet shufaa’s kitchen party ( the one on the right side)  at Dragon Hall Kawe Beach…. Galfriend you deserve all good thing coming in your life, wish all the happiness, ndio ukubwa huo dada,,,,,, LOL

HONGERA MNYIKA

mbunge wa jimbo la ubungo John Mnyika kushinda kesi iliokua inamkabili yauchaguzi mwaka 2010 hongera sana kaka,, CHADEMA FOR THE YOUTH,,,,,,,

Singer Fantasia Barrino performs onstage during Fox's 'American Idol 2012


Unene mbaya Fantasia alikua na mwili mzuri tu she need diet....

Rihanna's new hair style

caribbean queen