Tuesday, November 27, 2012

RIP SHAROBARO BILLIONEA

Msanii maarufu wa michezo ya kuchekesha ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Flava Hussein Mkiety maarufu kwa Sharo baro Millionea amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko Muheza mkoani Tanga.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga Constantine Masawe ,Hussein amefariki jana katika eneo la Lusanga Muheza