Friday, October 5, 2012
TIMU ZAGAWANA ELFU 6
MECHI ya ligi kuu soka Tanzania Bara kati ya African Lyon ya Dar
es Salaam na Toto Africans ya Mwanza iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex
jana,ilivunja rekodi ya mapato kiduchu baada ya kila timu kugawana sh. 6,864.3.
Mechi hiyo ilishuhudiwa na washabiki tisa kwa kiingilio cha sh.
3,000 na kuingiza jumla ya mapato ya Sh. 27,000( Ishirini na saba elfu). Mgawo wa mechi hiyo ulikuwa
VAT sh. 4,118.6 wakati Uwanja sh. 2,288.1, gharama za mchezo sh. 2,288.1,
Kamati ya Ligi sh. 2,288.1, FDF sh. 1,372.8 na Chama cha soka Dar es Salaam (DRFA)
kilipata sh. 915.2.
YANGA, SIMBA WAINGIZA MIL 390/-
KATIKA pambano la watani wa jadi Yanga na Simba la Ligi Kuu ya
Vodacom lililochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika
kwa sare ya bao 1-1 limeingiza sh. 390,568,000.
Watazamaji 50,455 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo
iliyochezwa usiku kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 7,000, sh. 10,000, sh.
15,000, sh. 20,000 na sh. 30,000 huku kila klabu ikipata mgawo wa sh.
93,345,549.15 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh.
59,578,169.49.
Mgawo mwingine wa mapato hayo ni posho ya msimamizi wa kituo sh.
240,000, kamishna wa mechi sh. 250,000, waamuzi sh. 591,000, mwamuzi wa akiba
(reserve referee) sh. 70,000, usafi na ulinzi wa uwanja sh. 2,350,000 na
Wachina (stadium technical support) sh. 2,000,000.
Gharama nyingine ni Umeme sh. 750,000, maandalizi ya uwanja (pitch
preparation) sh. 400,000, ulinzi wa mechi sh. 5,860,000 wakati tiketi ni sh.
7,327,000. Gharama za mchezo sh. 31,115,183.05, uwanja sh. 31,115,183.05,
Kamati ya Ligi sh. 31,115,183.05, Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF)
sh. 18,669,109.83 na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh.
12,446,073.22.
Thursday, October 4, 2012
BIRTHDAY YA DIAMOND ILIVYOKUWA D`MAGE HOTEL, JUZI
Wema akikaribisha wageni
Diamond akifurahia keki na madansa wake ndani ya maji
Wakikata keki pamoja
Wema akimlisha Diamond keki
Wema na dada yake Diamond
Wema & Diamond hisia ama
Pili Pictures: This is Diamond
Wednesday, October 3, 2012
TIPS FOR GOOD MAKEUP

Focus on one part, or two at most, of your face. Don't use a bold hue of lipstick with stand-out eyeliner and a bright shade of blush. Instead, zero in on the eyes and lips, or blush/skin. Keep it simple; don't over-do your makeup applications.
Quality is always better than quantity. If you have $50 for your entire face, don't get 10 cheap things, get 4 good-quality things ($25 foundation, $10 mascara, $10 for blush, and then a $5 lip-gloss).

When choosing eye makeup, take the occasion into consideration. For everyday makeup, just use a pencil. Black or dark brown will do. Liquid eyeliners are best for special occasions. Your eyeliner should be more natural looking for day makeup, and can be a bit heavier for evening looks. If you want a more dramatic look, dot the eyeliner under the lash line, then use the angle brush to blend. Your mascara will bring the eyes out more.
Subscribe to:
Posts (Atom)