Mshindi
wa kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012 Sista Martha Mwasu kutoka
mkoani Dodoma (kushoto) akiwa na zawadi baada ya kuibuka mshindi wa shindano la
Mama Shujaa wa Chakula, 2012. Katikati ni mshindi wa pili kutoka mkoani Kagera
Bi. Emiliana Eligaesha, kulia ni Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia
Mh. January Makamba.
Thursday, October 18, 2012
Wednesday, October 17, 2012
Alessandra Ambrosio to don $2.5 million Victoria’s Secret bra
Brazilian supermodel Alessandra
Ambrosio has been chosen to model the $2.5 million fantasy bra at this year's
Victoria's Secret Fashion Show — just months after giving birth! The mom of
4-year-old daughter Anja and 5-month-old son Noah will don the pricey lingerie
on this year's annual holiday TV special.
The 31-year-old will work the runway in the Floral Fantasy Bra Gift Set, designed exclusively for Victoria's Secret by London Jewelers, consisting of a Very Sexy pushup bra, embellished with sparkly gems set in gold, a glitzy centerpiece, and a matching belt. The sexy set features approximately 5,200 gems in all!
Ambrosio, one of Victoria's Secret's longtime Angels, reveals to People that she was shocked and excited to find out just three weeks after Noah's birth that she'd been selected to model the barely-there ensemble. "I just wanted to scream," she tells the magazine. "But I won't lie, I was really worried. I was in total mother mode." Once Ambrosio's doctor cleared her to exercise, she started walking and doing yoga for the first two months, then moved on to daily sessions of cardio and Pilates

Announcing Line Up | Sauti za Busara 2013
|
For video and media highlights click here
| |||||||||||||
|
Monday, October 15, 2012
Tanzania yapata shujaa mpya
Kwa mara ya kwanza
kabisa katika historia ya nchi yetu kijana Wilfred Moshi, Mbongo wa kawaida tu
(anayefanya kazi ya upagazi kuwahudumia watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro),
ameweka rekodi mpya ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupanda Everest - mlima mrefu
kushinda yote duniani.
Hivi karibuni, Moshi, alialikwa majuma matano nchini Uingereza kutembelea shule mbalimbali za Scotland akakutana na takribani wanafunzi 5,000 .
Wanafunzi walitaka kufahamu namna alivyopanda mlima Everest wenye mita 8,848 (futi 29, 029). Mlima huu mgumu kuukwea kuliko yote ulimwenguni umewahi kupandwa na na watu 4,000 toka ulipoanza kufikiwa kileleni na Edmund Hillary na Sherpa Tenzig Norgay mwaka 1953. Kati ya hao 200 walifariki.
Mwaka huu wanne wameshafariki wakiijaribu shughuli hii inayochukua miezi miwili na kugharimu Dola 100,000 (Shilingi milion 157,500,000) Linganisha na mlima Kilimanjaro unaodai siku tano na gharama (ikiwepo vifaa husika) Dola 2,000 (Shilingi milioni 3, 161).
Wilfred Moshi ni Mtanzania wa kwanza na Mwafrika wa tatu kufikia kilele cha kitendawili hiki Mei 19 2012 (kilichoitwa “Chomolungma” na wenyeji kabla ya kubatizwa jina la Everest na Waingereza enzi za ukoloni) Wilfred aliyezaliwa mwaka 1979 na kumaliza kidato cha sita shule ya Kilimanjaro Boys, amekuwa akipanda mlima Kilimanjaro tangu angali bado shuleni na miaka 19.
Mara baada ya kuwasili Edinburgh, Scotland alikaribishwa bungeni akakutana na Waziri wa Sheria mheshimiwa Kenneth MacAskill na viongozi wengine. Safari ilikirimiwa na shirika la “Twende Pamoja” lililoanzishwa na Mike Knox miaka 30 iliyopita. “Twende Pamoja” imejenga ushirikiano kati ya wanafunzi wa Scotland na shule 34 za Kitanzania. Ni moja ya mashirika, watu binafsi na wafadhili mbalimbali ulimwenguni waliochangia fedha za kumwezesha Moshi kupanda mlima Everest.

Balozi wetu Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe vile vile alisafiri toka London kumtembelea Wilfred Moshi na kumpa heko. Umbali wa London had Scotland ni kama Dar es Salaam hadi Kigoma!
Kwanini Moshi anahusudu
kupanda milima?
Ukweli sisi bado hatuoni umaana (au umuhimu) wa kupanda milima. Anasema lengo lake lilikuwa kutimiza ndoto ya Mtanzania wa kwanza kupanda Everest. Pili, upandaji milima ni moja ya njia zinazoweza kusaidia kujenga jamii kwa misaada na fadhila za mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO). Tujiulize vipi alisaidiwa na watu wengi namna hiyo kuchangia fedha takikana? Tatu, Moshi amethibitisha ukiwa na moyo na jitihada unaweza kufanya lolote.

Ushujaa na ushupavu wake utasaidia kuwahamasisha
Watanzania kuwa ukitaka kufanya jambo lolote lile unaweza ili mradi uwe na moyo
na nidhamu. Mpanda milima mashuhuri,
Mike Hamill, aliyeshakwea milima yote mikubwa saba duniani anasema katika
kitabu chake kipya (“Climbing Seven Summits”) wapanda milima ni watu wenye moyo
wa kufikia malengo na kufanikiwa katika maisha yao.
Akiwa Uingereza Moshi
alipanda mlima wa Ben Nevis mrefu kuzidi nchi hii- wenye mita 1,344 (futi 4,
409). Baada ya kuimudu milima mitatu sasa , Wilfred Moshi ameazimia kupanda
milima katika mabara yote 7 duniani. Anasema amebakisha milima mitano:
Aconcagua ( Marekani ya Kusini ), Kosciuszko (Australia), Vinson Massif (
Antarctica) McKinley(Alaska) na Elbrus(Urusi).
Mungu ambariki Mtanzania huyu mwenye jazba na hamasa
anayetuletea sifa.
Imeandikwa na Freddy Macha kwa ushirikiano na
Urban Pulse
Picha
zote hisani ya Wilfred Moshi na Urban Pulse
MASWALI MENGI YAIBUKA KIFO CHA KAMANDA WA POLISI MWANZA
1. Endelea kufananisha picha.
Lakini endelea pia kujenga mashaka kama nilivyoandika siku mbili zilizopita.
2. Kamanda alikuwa anatoka wapi - sherehe?
3. Alimbeba nani - mwalimu? Lifti? Kutoka wapi kwenda wapi? Mwalimu alikuwa anatoka wapi usiku huo? Hajaolewa? Mume wake yuko safari au alighairi sherehe? Mume wa mwalimu ni nani? Wanaishi wapi? Alimwacha wapi mume wake na kubebwa na polisi mkuu wa mkoa? Aliwaacha wapi aliokuwa nao na yeye kupata lifti? Kwanza kabisa, alikuwa na nani kabla hajapewa lifti. Mtu wa mwisho kumwona mwalimu na polisi wakiondoka ni nani? Kama polisi alipakia abiria wengine walishuka wapi?
4. Mkuu wa polisi na mwalimu walikuwa pamoja kwa muda gani wakiwa peke yao na wapi? A La Kairo au wapi? Hapo Kairo walikuwa wakifanya nini - tangu lini hadi lini? Mwalimu wa shule ya msingi ya Nyamagana, eti? Alikuwa anatoka wapi - naye kwenye sherehe hiyohiyo na Burlow?
5. Mwalimu mkuu anasema nini? Dada yake? Ndugu zake wengine? Hivi polisi mkuu wa mkoa na mwalimu walikutana kwa bahati mbaya? Tafuta. Tafuta.
6. Mahali aliposhambuliwa mkuu wa polisi ni karibu na kwake au kwa mwalimu?
7. Endelea kujenga mashaka: Ofisa uhamiaji aliyenusurika yuko wapi katika sinema hii? Hajui lolote? Kati ya polisi mkuu na mwanamke, hakika hakuna pandikizi la kukamilisha sura ya sinema? Hakuna?????? Tafuta. kama lipo linaweza kuwa limewekwa na nani na kwa nini?
8. Katika miaka mitatu iliyopita: Angalia kesi mahakamani Mwanza. Hakuna nyingi zinazohusu polisi na nyendo zao katika maisha ya familia mbalimbali? Hii ishu ya Burlow yaweza kuwa moja ya hizo? Uliza mahakimu - wamelalia malalamiko kwa kuwa polisi wamelalia uchunguzi na ushahidi? Tafuta.

9. Yuko wapi mke wa polisi mkuu? Hakwenda kwenye
sherehe? Alikatazwa? Hakupenda? Alijisikia vibaya? Hayupo Mwanza? Yuko wapi.
10. SINEMA HII INAFANANA NA ILE YA UDAKU. SIYO!
Acha vijana wafumue muone kitakachotoka kichakani. Na hicho ndicho mazoea,
tabia na sasa utamaduni.
11. Kumbuka Burlow alitoka mkoani Mara na mkondo
wa wakimbizi na wahamiaji na utajiri wao, kama nilivyoeleza katika disipachi
iliyopita, vina nafasi katika mahusiano na tabia za polisi na uhamiaji. Nani
atajinyofoa katika hili lenya urefu na upana wa dunia.
12. Naomba Katu na wengine, mwendelee kuchimba. Kama kweli Burlow amefariki katika mazingira hayo, nasema kuna jambo ambalo halina nyumba maalum. Liko kila nyumba ya mwenye madaraka; mwenye fedha za nyongeza. Bali alale pale ambako Mwenyezi Mungu atapenda.

Sunday, October 14, 2012
Mrembo wa Ilala atwaa taji la Top Model
Magdalena Roy
Magdalena
anakuwa mrembo wa pili kuingia katika hatua hiyo, akiungana na LucyStephano
kutoka Mbulu ambaye wiki iliyopita alitwaa taji la Miss Photogenic.
Katika
shindano la Top Model lililofanyika kwenye hoteli ya Naura Spring, mjini hapa lilikuwa
na upinzani mkali kutoka kwa washiriki wote wa Redd’s Miss Tanzania.
Mbali na
Magdalena warembo wengine waliofanikiwa kuingia katika tano bora walikuwa ni
Mary Chizi (Ilala), Irene Veda (Lindi), Belinda Mbogo (Dodoma) na Sina
Revocatus (Elimu ya Juu).
Warembo hao
waliondoka jana mjini Arusha kuelekea Tanga kwa ajili ya kutembelea mapango ya
Amboni, kabla ya kurejea Dar es Salaam keshokutwa.
Subscribe to:
Posts (Atom)