Thursday, October 18, 2012

Sista aibuka mshindi shujaa Mama wa Chakula


Mshindi wa kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012 Sista Martha Mwasu kutoka mkoani Dodoma (kushoto) akiwa na zawadi baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula, 2012. Katikati ni mshindi wa pili kutoka mkoani Kagera Bi. Emiliana Eligaesha, kulia ni Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba.

No comments:

Post a Comment