Rais Paul Kagame wa Rwanda(kulia), akisalimiana na kusikiliza neno la mdhamini wa Yanga, Mama Fatuma Karume wakati rais huyo alipowakiribisha Ikulu, jijini Kigali jana.
Rais Kagame wa Rwanda akisalimiana na kocha wa Yanga, Tom Saintfiet wakati rais huyo alipowakiribisha Ikulu, jijini Kigali jana.
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Mehmboob Manji(kulia), akimweleza jambo Rais Kagame katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Kigali, juzi.
Rais Kagame wa Rwanda(katikati) akishika kombe la Afrika Mashariki na Kati(Kagame Cup) sanjari na kocha wa Yanga, Tom Saintfiet na nahodha Nadir Haroub Carnavaro wakati rais huyo alipowakiribisha Ikulu, jijini Kigali jana.
Mdhamini wa Yanga, Mama Fatuma Karume(katikati) akimkabidhi jezi ya timu hiyo, Rais Kagame Ikulu Kigali, juzi. Kushoto ni Seif Ahmed 'Magari'wakati rais huyo alipowakiribisha Ikulu, jana.
Rais Kagame(kulia), akiteta jambo na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji(Picha zote na Saleh Ally wa Champions.
Friday, August 24, 2012
Wednesday, August 22, 2012
NANCY SUMARI WITH HER NEW WEBSITE
visit the website http://mamazuri.com/
Tuesday, August 21, 2012
MY FAVORITE FASHION BLOGS OF THIS MONTH
Jadore
its all about fashion and she do it well i really enjoy her fashion spirit
she is good that's all i can say.
Monday, August 20, 2012
I Was Here (United Nations World Humanitarian Day Perform...
Musical powerhouse Beoncey is using her voice for a powerful message.
The 30-year-old Single Ladies songstress has debuted a new music video to benefit Sunday’s World Humanitarian Day.
Filmed at the UN General Assembly Hall in New York, the emotional performance features Bey belting out her hit, “I Was Here,” from her album 4 to raise awareness for global humanitarian work.
“We all see the headlines and we think what can I really do to help? World Humanitarian Day is an opportunity for all of us to work together to make a difference,” Beyonce says of her champaign with the United Nations. “This is our time to leave our mark on the world and show that we were here and we care.”
Tanzania chali Miss World
MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya urembo ya Dunia 2012, Lisa Jensen jana aliungana na warembo wengine 18 waliomtangulia kutoka Tanzania, kupigwa kumbo katika fainali hizo, baada ya mrembo wa China, Yu Wenxia kutwaa taji hilo katika shindano lililofanyika Ordos Stadium Arena kaskazini mashariki ya jiji la kibiashara la Ordos.
Zilikuwa kelele zilizopitiliza baada ya mashabiki kushuhudia mrembo kutoka katika ardhi yao akitwaa taji hilo la 62, lililokuwa likishikiliwa na mrembo wa Venezuela, Ivian Sarcosa ambaye jana alimvika taji malkia huyo mpya wa dunia katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 116 kwa mara ya kwanza.
"Nikiwa mdogo nilisaidiwa na watu wengi sana, jambo ambalo ni fursa kwangu nami kufanya hivyo baada ya kutwaa taji hilo, ni bahati kubwa maishani mwangu", alisema Yu mbele ya waandishi wa habari akihojiwa kuhusu ushindi wake.
Sudan Kusini iliyoshiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza imefanya maajabu kwa kuingia hatua ya fainali ya mwisho kabisa ya saba bora. Katika 15 Kenya nayo ilitinga hatua hiyo ikiwa na Sudani Kusini. Nchi za India,Mexico, Australia, Jamaica,China ,Wales, Uingereza, Brazil,Uhispania,Phillipines, Marekani, Uholanzi na Indonesia, nazo zilifika hatua hiyo.
Mbali ya China, ushindi wa pili ulikwenda kwa mrembo wales, Sophie Moulds wakati nafasi ya tatu ilikwenda kwa mrembo wa Australia, Jessica Kahawaty. Taji hilo kwa mara ya kwanza mwaka 1951 lilitwaliwa na Kiki Hakansson wa Sweden.Venezuela imewahi kutoa mrembo wa dunia mara sita wakati India na Uingereza zinafuatiwa kwa kutwaa mara tano.
Warembo wengine waliopata kushiriki miss World na miaka yao kwenye mabano ni pamoja na Aina Maeda(1994), Emilly Adolf(1995), Shose Sinare(1996), Saida Kessy(1997), Basila Mwanukuzi(1998), Hoyce Temu(1999), Jacquline Ntuyabaliwe 'K-Lyne'(2000), Happiness Sosthnes Magese (2001), Angela Damas Mutalimwa(2002) na Sylvia Remmy Bahame(2003).
Wengine ni Faraja Kotta(2004), Nancy Sumari(2005), Wema Sepetu(2006), Richa Adhia(2007), Nasreem Karim(2008), Miriam Gerald(2009), Genevieve Emmanuel Mpangala(2010) na Salha Israel anayelishikilia taji hilo ambalo anatarajiwa kuanza kulivua Oktoba.
mwisho

Subscribe to:
Posts (Atom)