Sunday, June 3, 2012

SHUFAA'S KITCHEN PARTY


BRIDE : SHUFAA
MC: GLADY
VENUE: HAPPY DRAGON
COLOR: GREEN,ORANGE,GREY AND WHITE


 shufaa umependeza mama ndio siku yako hiyo

matron hauja achwa mbali mama unaenda sambamba


mpambaji alifanya kazi yake


Cake ilipendeza balaa

anaingia kwa mziki wa ki south


MC Grady

kwa niaba ya mashoga woteeeeeeeee


                                                                  Sima n Neema
wapi neema

 nikisubiri msosi lol
Ivy Ladies

Neema & Najis looking gud

Mama Jason

mama jiko hilo ushindwe kupika mwenyewe

mda unaopendwa nawengibi harusi mtalajiwaDreads zimebanwa mpaka raha!

To ukumbini
Ivy Ladies

3 comments:

  1. The only ivy ladies in town.........hatukupenda iwe hivyo ila ndio imeshatokeaaa.in gee"s voice.ha ha ha.

    ReplyDelete
  2. Wooow looking great bibi harusi mtarajiwa

    ReplyDelete
  3. Shost I cant you at all but kiukweli mmependeza

    ReplyDelete