Thursday, June 7, 2012

CITY SPORTS & LOUNGE

  Sehemu ya nje ya City Sports Lounge inavyoonekana ikiwa na picha za wanamichezo mbalimbali maarufu Duniani


Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba, akizungumza na William Malecela, pembeni ni mkewe Mheshimiwa, Mrs. Makamba, kwenye ufunguzi wa City Sports Lounge. Kiota chaUhakika kilichopo karibu na Mzungungo wa Askari katikati ya jiji la Dar es Salaam.

with jaydee n Gadner

nimetulia tu its a nice place to hang out after work

 kwa raha zake

 Jarnice n jay dee n gadner

with my Bff lol,,,,

Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athuman Nyamlani(Kushoto) akiteta jambo na Ridhiwan Kikwete ndani ya club hiyo


Mwandaaji wa Miss Chang'ombe Tom Chilala (wa pilikushoto) akijadiliana jambo na Wakurugenzi wa City Sports Lounge, Juma Pinto (kushoto) pamoja na Benny Kisaka.
No comments:

Post a Comment