Tuesday, October 23, 2012

Kikwete akifunga mkutano wa UWT Dodoma

Mwenyekiti wa CCM, Dk.Jakaya Kikwete akizungumza na mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM, UWT, Sophia Simba wakati akifunga mkutano wa uchaguzi wa chama hicho, mjini Dodoma jana. Simba alishinda uchaguzi  huo kwa kishindo kwa kumbwaga, Anne Kilango Malecela
 
Wanachama wakongwe wa UWT walioalikwa kwenye mkutano huo, mjini Dodoma wakimshangilia Rais Kikwete wakati akiingia ukumbini katika ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment