Tuesday, May 29, 2012

Diamond awe mfano

 diamond akipigwa maswali na mtangazaji wa bigbrother africa star game (IK) katika eviction show baada yakuperforme fresh, alijitahidi kwakweli wengine wawe mfano ukijituma matunda utayaona.
                                               diamond akiwa Airport akirudi TZ

1 comment:

  1. mtoto wa tandale ndani ya sa atachobokajeeeee?mxiiiiiii

    ReplyDelete